Azam FC imeitungua Stand United kwa mabao 4-0
katika mechi iliyopigwa leo kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.
Azam FC imeshinda mchezo huo ikiwa
inazihitaji mno pointi mno.
Azam FC inahitaji kushinda kila mechi kati
ya zilizobaki kwa kuwa inataka ubingwa au nafasi ya pili.
Ilianza kupata mabao yake kupitia kwa
Gaudence Mwaikimba na Bryan Mwajegwa katika kipindi cha kwanza.
Mwaikimba akaongeza bao la tatu katika
dakika ya 62 kabla ya Farid Malik kufunga la nne katika dakika ya 89.
Sidhani kama Azam wanaifukuza. Yanga bali wanaikimbia Simba!! Hakuna tena ushindani wa Yanga na Azam maana wanahitaji mechi moja kuwa mabingwa huku wakiwa na 3 mkononi. Ushindani ni kati ya Azam na Simba kwa ajili ya nafac ya pili!! Mapenzi yanaleta shida
ReplyDelete