April 17, 2015


Msimamo wa Ligi Kuu Tunisia unaonyesha kwamba Etoile du Sahel si timu laini na Yanga inatakiwa kufanya kazi ya ziada kuizuia kesho.


Yanga inakutana na Etoile katika mechi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho hatua ya raundi ya pili.

Baada ya kucheza mechi 24, Etoile iko katika nafasi ya tatu ikiwa na pointi 49.


1Club Africain Tunis242549
2Esperance Tunis241949
3Etoile Sportive du Sahel241949
4Club Sportif Sfaxien241641
5ES Zarzis24937

Iko katika nafasi ya tatu lakini haina tofauti ya pointi hata moja na walio nafasi ya pili Esperance na vinara Club African ambao ndiyo vinara. Kila timu ina pointi 49.


Hii inaonyesha jamaa wako vizuri na Yanga lazima ipambane vizuri kuhakikisha inawashinda kwa mabao mengi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic