April 17, 2015


Mechi ya Ligi Kuu Bara kati ya Stand United dhidi ya JKT Ruvu imemalizika kwa sare ya bao 1-1.


Mechi hiyo kwenye Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga imemalizika kwa sare hiyo huku Stand United wakipoteza nafasi nyingi zaidi za kufunga mabao.

Mnigeria Abasirim Chiedebere ameendelea kung'ara baada ya kufunga bao la wenyeji na JKT wakapata lao kupitia Samuel Kamuntu.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic