April 17, 2015

Wachezaji wa Etoile du Sahel wamefanya mazoezi yao ya mwanzo na mwisho kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, leo.


Kikosi cha Etoile kimefanya mazoezi kuanzia mchana Saa 8:30, hali iliyoonyesha kujiandaa kucheza kwenye jua kali dhidi ya Yanga, kesho.
 
Mechi ya Kombe la Shirikisho kati ya Yanga dhidi ya Waarabu hao wa Tunisia, imepangwa kupigwa kesho Saa 9 Alasiri.









0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic