Beki wa zamani wa Liverpool, Jamie Carragher
ameendelea kumng’ang’ania kiungo Yaya Toure kuwa ndiye aliiua Man City.
Carragher ambaye sasa ni mchambuzi wa runinga ya
Sky Sport ameng’ang’ania kwamba faulo iliyopigwa na Pancheon isingetinga wavuni
kama Yaya asingeinama.
Yaya alifunga bao kwa Man City ilipolala kwa
mabao 2-1 dhidi ya Crystal Palace na kuyaweka rehani matumaini ya kuutetea
ubingwa wa Ligi Kuu England.
Yaya raia wa Ivory Coast aliinamisha kichwa
wakati faulo hiyo ikipigwa na ndiyo imekuwa pointi ya Carragher akiamini yeye
ameiponza Liverpool.
0 COMMENTS:
Post a Comment