Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia yuko jukwaani tayari kuishangilia Yanga.
Yanga iko Zimbabwe kupamaba na FC Platinum na Nkamia ambaye ni Mbunge wa Kondoa Kusini (CCM), tayari ametulia jukwaani kuhakikisha anaiunga mkono Yanga.
Tayari mechi imeanza na Wazimbabwe wamepania kulipa kisasi cha kufungwa mabao 5-1.
Kabla ya kuingia kwenye siasa, Nkamia aliwahi kuwa Katibu Mwenyezi wa Simba.
Pia amewahi kufanya kazi katika mashirika mbalimbali ya kimataifa likiwemo lile la Uingereza la BBC.
0 COMMENTS:
Post a Comment