April 4, 2015


Kocha Hans van der Pluijm amemtupa benchi beki wake, Kelvin Yondani na kuanza Mbuyu Twite katika mechi ya Kombe la Shirikisho dhidi ya FC Platnum ya Zimbambwe.



Mechi ndiyo imeanza na kifuatacho ndicho kikosi kinachoiwakilisha Yanga.


Mustapha Ally 'Barthez', Juma Abdul, Oscar Joshua, Mbuyu Twite, Nadir Haroub 'Cannavaro', Said Juma 'Makapu', Salum Telela, Haruna Niyonzima, Amissi Tambwe, Mrisho Ngassa na Simon Msuva.

Yanga inahitaji sare ya aina yoyote kusonga mbele, hii ni baada ya ushindi wa mabao 5-1 katika mechi ya kwanza jijini Dar es Salaam.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic