April 4, 2015


Mechi kati ya Simba dhidi ya Kegara Sugar imeahirishwa na sasa itachezwa Jumatatu.



Taarifa kutoka Bodi ya Ligi Tanzania zimeeleza mechi hiyo iliyokuwa ipigwe leo kwenye Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga imeahirishwa kutokana na ajali ya mashabiki wa Simba Ukawa.

Mashabiki watano na watu wengine wawili walipoteza maisha katika ajali ya gari iliyotokea jana katika eneo la Dakawa mkoani Morogoro.

Ajali hiyo ilitokea wakati mashabiki hao wakiwa wanakwenda kuiona mechi hiyo ya Ligi Kuu Bara.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic