Mtoto Abdallah Omary Katanga ,11, amekutwa akijipoza na gazeti namba moja la michezo nchini.
Katanga Jr ambaye ni mtoto wa mtangazaji maarufu wa michezo, Omary Katanga ameonyesha michezo iko kwenye damu.
Baba yake ambaye sasa anatesa katika kipindi cha michezo za E FM Radio maarufu kama Habari ya Mujini pia ni mchambuzi katika gazeti hilo la Championi.
Katanga Jr anapenda soka pia inaelezwa ni kati ya wanaosumbua anapokuwa shule kimasomo, pia kimichezo.
0 COMMENTS:
Post a Comment