Wadau wengi wa soka wamekuwa wakichambua kwamba mechi
ngumu katika nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ni kati ya Barcelona dhidi
ya Bayern Munich.
Lakini mechi ya pili ya Real Madrid dhidi ya Juventus ni
laini tu.
Hivyo wanaona mechi hiyo ya kwanza inawahusisha Simba na
ile ya pili ni paka ambao ni Real
Madrid dhidi ya panya yaani Juventus.
Hivyo atakayeshinda katika mechi ya Simba dhidi ya Simba
ni nafasi kubwa kutwaa ubingwa huo.
Yote yanawezekana lakini usishangae panya akatinga
fainali dhidi ya Simba ingawa wengi wanabashiri itakuwa ni Simba dhidi ya paka.
Hehehehe.
0 COMMENTS:
Post a Comment