KUTOKA KUSHOTO; SHABANI KADO, SALEH ALLY 'JEMBE', SHAFFIH DAUDA NA MBWIGA WAKIWA TAYARI KWA AJILI YA MECHI DHIDI YA VIKAWE AMBAYO ILIISHA KWA KWA WAKALI HAO KUSHINDA KWA MABAO 2-1, KADO AKIFUNGA LA USHINDI. REKODI ZINAONYESHA KIKOSI WAKICHEZA KWA PAMOJA JEMBE, SHAFFIH NA MBWGA, HAKIJAWAHI KUPOTEZA MECHI KAMA ILIVYOKUWA ENZI ZA GARINCHA NA PELE.
MECHI HIYO YA KIRAFIKI ILICHEZWA KATIKA KIJIJI CHA VIKAWE, BAGAMOYO. LILIKUWA BONGE LA MECHI NA MAVETARANI HAO WALIKULA PAMOJA KABLA NA BAADA YA MECHI. WENGINE KIBAO WALIKUWEPO KAMA KAHABUKA, GEORGE MASATU, SHABANI TIPPO, HARUNA MOSHI 'BOBAN', JUMA KASEJA, IDDI MOSHI 'MNYAMWEZI' ALIYEKUWA KATIKA BENCHI NA WENGINE....ILIKUWA BONGE LA BATA. |
0 COMMENTS:
Post a Comment