Viungo nyota wa zamani wa timu ya taifa ya England,
Steven Gerrard na Frank Lampard wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa tuzo ya PFa.
Gerrard wa Liverpool na Lampard anayekipiga Man
City, wote wawili wataondoka England mwishoni mwa msimu huu na kwenda kukipiga
Marekani maarufu kama Major League.
0 COMMENTS:
Post a Comment