Bondia nyota, Wladimir
Klitschko amemaliza ufalma wa miaka saba katika mashirikisho ya IBF, WBA na WBO aliokuwa anashikilia Bryant
Jennings.
Klitschko
amemtwanga Jennengs kwa pointi katika pambano lililofanyika usiku wa kuamkia
leo kwenye Ukumbi wa Madison
Square Garden nchini Marekani.
Klitschko ameibuka na ushindi wa jumla baada ya majaji wote watatu
kumpa ushindi wa 116-111, 118-109 na 116-111.
0 COMMENTS:
Post a Comment