April 14, 2015

WAHARIRI WA CHAMPIONI, SALEH ALLY, ELIUS KAMBILI NA BOSI WA KITENGO CHA HABARI CHA SIMBA, HAJI MANARA WAKIMSIKILIZA HAROUN KATIKA OFISI ZA GAZETI HILO, LEO JIONI.

Kocha wa makipa wa timu ya taifa ya Oman, Haroun Amour leo amefanya ziara katika gazeti la Championi.


Haroun ambaye yuko jijini Dar es Salaam alitembelea katika ofisi za Championi akiongozana na Mkurugenzi wa kitengo cha Habari cha Simba, Haji Manara.
 
HAROUN AKIZUNGUMZA NA PHILLIP NKINI, MHARIRI WA CHAMPIONI JUMATANO.
Kicha huyo amekuwa akiwanoa makipa mbalimbali wa Oman akiwemo Al Habsi aliyeyeng'ara na Wigan wakati ikikipiga katika Ligi Kuu England.


Akiwa katika ofisi za Championi eneo la Bamaga jijini Dar es Salaam, alizungumza na waandishi na wahariri wa gazeti hilo ambalo hutoka kila Jumatatu, Jumatano, Ijumaa na Jumamosi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic