Mabingwa wa
Asia wa soka la ufukweni, Oman wanaoongozwa na Talib Hilal, beki wa zamani wa
Simba, wamepangwa kundi B wakiwa na timu ngumu ya Uswiss, Italia na Costa Rica.
Katika droo
ya Kombe la Dunia iliyofanyika leo, kikosi hicho cha Talib anayesaidiana na
kipa wa zamani wa Pamba ya Mwanza, Yusuf Abeid kitakuwa na kazi kubwa
kuhakikisha inatoka katika kundi hilo.
Kombe la
Dunia la ufukweni litashirikisha timu 16 na litaanza Kulai 9 hadi 19 katika
eneo la Praia da Baia nchini Ureno.
MAKUNDI
Kundi A
Ureno
Japan
Argentina
Senegal
Ureno
Japan
Argentina
Senegal
Kundi B
Switzerland
Oman
Italia
Costa Rica
Switzerland
Oman
Italia
Costa Rica
Kundi C
Brazil
Mexico
Spain
Iran
Brazil
Mexico
Spain
Iran
Kundi D
Russia
Paraguay
Tahiti
Madagascar
Russia
Paraguay
Tahiti
Madagascar
0 COMMENTS:
Post a Comment