Lionel Messi anatarajia kupata mtoto wa pili baada ya
taarifa kuzagaa mkewe Antonella Roccuzzo ni mjamzito.
Taarifa hizo zimezagaa
kwenye mitandao mbalimbali baada ya picha ya Antonella akiwa tumbo wazi na
mwanaye Thiago akimbusu.
Katika picha hiyo
mtandaoni, Antonella ameandika: “Tunakusubiri, tunakupenda bby.”
Messi na Antonella walianza
kupendana zaidi ya miaka kumi iliyopita.
0 COMMENTS:
Post a Comment