Premier League ya England
imemtunza Didier Drogba kutokana na uamuzi wake wa kufungua Didier Drogba
Foundation ambayo itakuwa ikifanya kazi ya kuwasaidia wenye matatizo.
Ametuzwa kutokana uamuzi
wake wa kusawasaidia wa vijana wa Afrika hali ambayo itaendelea kuwahamasisha
kuzidi kuupenda mpira pamoja na ligi hiyo.
Tayari Drogba amejenga
hospitali kubwa ya kisasa nchini kwao Ivory Coast.
0 COMMENTS:
Post a Comment