Real Madrid imeendeleza ushindi katika La Liga
baada ya kuifunga Almeria kwa mabao 3-0 kwenye Uwanja wa Santiago Bernabeu.
Mabao ya Madrid yamefungwa na James Rodrigues,
beki Alvaro Arbeloa na Dos Santos aliyejifunga.
Mshambiliaji nyota wa Madrid, Cristiano Ronaldo
ameendelea kuandamwa na ukame.
0 COMMENTS:
Post a Comment