REAL MADRID YAITWANGA CELTA VIGO 4-2, CHICHARITO AZIDI KUNG'ARA, APIGA MBILI Real Madrid imeendelea kuifukuza Barcelona kwa kuitwanga Celta Vigo kwa mabao 4-2. Mabao ya Madrid yalipachikwa wavuni na Toni Kroos, James Rodrigues, Javier Harnandez ‘Chicharito’ aliyepachika mabao mawili.
0 COMMENTS:
Post a Comment