Bondia maarufu wa zamani wa Uingereza, Rick Hatton amemuonya Manny Pacquiao kuhusiana na ukali wa mpinzani wake Floyd Mayweather ambaye atapambana naye Mei 3 kwa saa za Afrika Mashariki.
Hatton ameishapambana na mabondia hao wote wawili, wakampiga. Lakini anaamini Maywether ni mkali zaidi na mjanja.
Pia ana mkono mwepesi na wenye nguvu, hivyo Manny anapaswa kuwa makini sana.
.
Wakati mechi
0 COMMENTS:
Post a Comment