Kocha wa timu ya vijana ya
England, Gareth Southgate ametamba kuwa kizazi kijacho cha nchi hiyo kitakuwa
tishio.
Southgate amesema vijana
wengi wa England hasa katika kikosi cha U21 wana vipaji na uwezo wa juu.
Ametamba wataendelea
kufanya vizuri katika michuano mbalimbali.
SOUTHGATE AKIWA NA SALEH ALLY |
Katika mahojiano na Daily
Mail, Southgate amesema hata vijana wa chini ya miaka 15 au U15 wana kiwango
cha juu na timu bora ambayo England haijawahi kupata.
Southgate aliyewahi kuwa
nahodha wa timu tatu zinazoshiriki Ligi Kuu England kwa nyakati tofauti na
kucheza mechi 57 katika ligi hiyo.
0 COMMENTS:
Post a Comment