TORRES ATOKEA BENCHI NA KUIBEBA ATLETICO MADRID DHIDI YA VILLAREAL Mshambuliaji nyota wa Atletico Madrid, Fernando Torres ametokea benchi na kuibeba timu yake. Torres amefunga bao pekee wakati Atletico ikishinda bao 1-0 dhidi ya Villareal. Mshambuliaji huyo amerejea Atletico akitokea AC Milan ambayo ilimnunua kutokea Chelsea alikoshindwa kuonyesha cheche zake.
0 COMMENTS:
Post a Comment