Kipigo cha mabao 3-0 kutoka
kwa Everton hakikumzuia kiungo wa Manchester United, Malloaune Fellaini
kujirusha akiwa na pacha wake Mansour.
Fellaini alishindwa
kuonyesha soka safi siku hiyo wakati akicheza dhidi ya timu yake ya zamani.
Wakati akiwa amekaa na
Mansour, baadaye aligundua waandishi walikuwa wakimfuatilia, akaamua kuondoka
zake eneo hilo.
0 COMMENTS:
Post a Comment