Unamkumbuka yule mshambuliaji Mganda wa Yanga, Hamisi Kiiza? Hajakata tamaa, anaonekana bado anataka kufika mbali.
Mganda huyo maarufu kama Diego amekuwa akijifua pamoja na mbwa wake kwao Kampala, Uganda ikiwa ni sehemu ya kujiweka fiti.
Kiiza alitembwa na Yanga na nafasi yake akachukuliwa Mliberia, Kpah Sherman.
Kiiza amekuwa akiendelea kufanya mazoezi makali kama unavyomuona.
0 COMMENTS:
Post a Comment