Simba imefanikiwa kulipa kisasi baada ya
kuichapa Kagera Sugar kwa mabao 2-1.
Mechi hiyo ya Ligi Kuu Bara imepigwa kwenye
Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga.
Ibrahim Ajib ndiye alikuwa wa kwanza
kuifungia Simba bao la mkwaju wa penalti na Ramadhani Singano maarufu kama
Messi alifunga la pili.
Bao la kufutia machozi la Kagera lilifungwa
na Rashid Mandawa.
Katika mechi ya kwanza ya Ligi Kuu Bara kati
ya timu hizo, Simba ililala kwa bao 1-0 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Da.
0 COMMENTS:
Post a Comment