TAYARI MECHI NI MAPUMZIKO KATIKA UWANJA WA ,,,,,YANGA IKO NYUMA KWA BAO MOJA LILILOFUNGWA NA ALLEN GAHADZIKWA KATIKA DAKIKA YA 28.
MECHI NI KALI NA YA USHINDANI MKUBWA. KUMBUKA MECHI YA KWANZA JIJINI DAR YANGA WALISHINDA 5-1.
HIVYO HAWATAKIWI KUFUNGWA BAO 4-0 LEO.
BOFYA LINK HII USHUHUDIE MECHI YA YANGA LIVE..
http://196.41.40.253/flash.html
0 COMMENTS:
Post a Comment