Luis Figo amejiondoa
kwenye kinyang’anyiro cha kuwania Urais wa Shirikisho la Soka la Kimaitaifa
(Fifa) huku akitoa maneno ya shombo.
Figo hajafafanua zaidi
sababu za kujiondoa lakini amesisitiza kuwa shirikisho hilo linaendeshwa
kidikteta na Raia wake Sepp Blatter.
Amesema uchaguzi huo
uliopangwa kufanyika Mei 29 si uchaguzi wa kawaida.
Pamoja na Figo, Rais wa
Shirikisho la Soka la Uholanzi (KNVB), Michael van Praag naye alitangaza
kujitoa mapema kabisa.
BLATTER |
RAIS KNVB |
0 COMMENTS:
Post a Comment