Hatimaye Dan Sserunkuma ameamua kuondoka Simba
baada ya kuvunja mkataba.
Sserunkuma raia wa Uganda alijiunga na Simba
akitokea Gor Mahia ya Kenya lakini akashindwa kuonyesha kiwango bora kutokana
na kutokuwa chaguo la kocha Goran Kopunovic.
Jana jioni, Sserunkuma ameamua kuvunja mkataba
baada ua kutishia kufanya hivyo miezi miwili iliyopita.
Taarifa kutoka ndani ya uongozi wa Simba
zinaeleza, Sserunkuma hakulipwa lolote, hivyo anaondoka zake kwenda kutafuta
timu.
0 COMMENTS:
Post a Comment