BARCELONA WAKO JIJINI MUNICH, UJERUMANI TAYARI KWA AJILI YA MECHI YAO YA PILI YA NSU FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA DHIDI YA BAYERN MUNICH AMBAYO WALIITWANGA KWA MABAO 3-0 KATIKA MECHI YA KWANZA JIJINI BARCELONA. JE, WATAVUKA AU BAYERN WATAPINDUA KABATI? TUSUBIRI LEO USIKU. |
0 COMMENTS:
Post a Comment