Kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa AS Roma kimeonyesha
kuwaudhi ile mbaya mashabiki wa Lazio.
Mashabiki hao wamefanya vurugu kubwa mitaani ikiwemo
kupambana na askari Polisi mara baada ya kipogo hicho.
Timu hizo zinapokutana ni sawa na Yanga na Simba na
Lazio walikuwa na matumaini makubwa ya ushindi lakini mambo yakaenda tofauti.
0 COMMENTS:
Post a Comment