Hatimaye yametimia baada ya klabu maarufu duniani ya Real
Madrid, kumtimua kocha wake Carlo Ancelotti.
Ancelotti ndiye aliiwezesha Madrid kubeba ubingwa wa Ligi ya
Mabingwa Ulaya kwa mara ya 10.
Lakini akamaliza msimu uliopita bila ya kubeba taji lolote,
jambo ambalo limesababisha kusitishwa kwa kibarua chake.
0 COMMENTS:
Post a Comment