Burudani
nyingine ya mchezo wa soka ni utani. Angalia huu wa kipa Iker Casillas wa Real
Madrid.
Wakati timu
yake inacheza na Juventus katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, huku zikiwa
na matokeo ya bao 1-1, Casillas alikimbilia kwenda kumrushia mpira beki
Marcelo.
Lengo lilikuwa
ni kumrushia Mbrazil huyo ili awahishe mpira mbele. Lakini mtu mzima
alivyourusha kama anafunga kwenye goli la mpira wa kikapu.
Baada ya hapo,
ndiyo utani ukaanza mitandaoni hasa baada ya Madrid kung’olewa na Juventus.
Cheki hizo picha.
0 COMMENTS:
Post a Comment