June 25, 2015

 Hatimaye Liverpool imekamilisha usajili wa mshambuliaji nyota, Roberto Firmino.


Firmino anakuwa mchezaji wa pili ghali kwa Liverpool baada ya kusajiliwa kwa kitita cha pauni milioni 29.
 
Anatua Liverpool akitokea Hoffenheim ya Ujerumani na tayari shughuli ya vipimo imefantyika nchini Chile.

Mshambuliaji huyo ambaye amekuwa akivaa jezi namba 11 katika timu yake ya taifa anaonekana atakuwa chachu ya kuboresha safu ya ushambuliaji ya Liverpool.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic