Kinda
Bakari Masudi amtua African Sports kwa
kusaini mkataba wa mwaka mmoja.
![]() |
| BEKA (KUSHOTO) WAKATI AKIWA YANGA. |
Bakari
maarufu kama Beka, alikuwa mmoja wa makinda waliokuwa wanakuzwa Yanga na
kuonyesha kipaji kizuri.
Hata
hivyo badilishabadilisha ya makocha ilimkumba na kumfanya aingie katika wakati
mgumu wa kukosa nafasi.
Lakini
mbele ya viongozi wa African Sports, kinda huyo amesaini mkataba wa mwaka
mmoja.
African
Sports kutoka Tanga imekuwa ikiimarisha zaidi na zaidi mara tu baada ya kurejea
Ligi Kuu Bara ikishinda nafasi ya pili nyuma ya mabingwa Mwadui FC.











0 COMMENTS:
Post a Comment