CHEKI MICHUMA HII MINNE YA MASTAA WA LIVERPOOL WAKIINGIA MAZOEZINI NATHANIEL CLYNE AKIWASILI MAZOEZINI KATIKA TIMU YAKE MPYA YA LIVERPOL ALIYOJIUNGA NAYO AKITOKEA SOUTHAMPTON. HAPA ANATUMIA GARI AINA YA BENTLEY GT. WENGINE NAO WAMEINGIA NA MICHUANO YA KIFAHARI NA BAADHI YAO NI HAWA WAFUATAO.... KOLO TOURE (MERCEDEZ BENZ) RAHEEM STERLING (MERCEDEZ BENZ) JORDAN HENDERSON (RANGE ROVER)
0 COMMENTS:
Post a Comment