MAREKANI IMEITWANGA JAPAN KWA MABAO 5-2 NA KUFANIKIWA KUBEBA UBINGWA WA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA ILIYOMALIZIKA SAA CHACHE ZILIZOPITA NCHINI CANADA. NDANI YA DAKIKA 15 MAREKANI WALIKUWA TAYARI WAMEPIGA BAO 4 NA KUWACHANGANYA WAJAPAN. CHEKI MWENYE MAPICHA YA ACTION |
0 COMMENTS:
Post a Comment