Chelsea imeshinda kwa penalti 5-4 katika mechi ya
kirafiki dhidi ya PSG iliyopigwa huko North Carolina nchini Marekani.
Ushindi huo umepatikana baada ya sare ya bao 1-1 PSG
wakitangulia kupitia kwa Zlatan Ibrahimovic kabla ya Chelsea kusawazsiha
kupitia kwa Victor Moses.
Kipa Thibaut Courtois ndiye alikuwa shujaa kwa kufunga
penalti ya mwisho huku Radamel Falcao akionekana ni kati ya mashujaa baada ya
kucheza vizuri, pia kufunga mkwaju wake wa penalti.
Chelsea (4-2-3-1): Begovic (Coutois 45);
Ivanovic, Cahill (Zouma 45), Terry, Azpilicueta; Mikel (Ramires 45), Matic
(Oscar 70); Moses (Remy 70), Fabregas (Willian 70), Hazard (Cuadrado 74); Diego
Costa (Falcao 70)
Booked: Azpilicueta
Scorers: Moses 65
PSG (4-3-3): Trapp (Sirigu 68); Maxwell (Digne
79), David Luiz (Marquinhos 45), Aurier (Silva 64), Van der Wiel (Sabaly 79);
Stambouli (Rabiot 45), Matuidi (Nkunku 79), Verrati (Motta 45), Lucas (Ongenda
79); Ibrahimovic (Bahebeck 79), Augustin (Cavani 65)
Booked: Rabiot, Aurier
Scorers: Ibrahimovic 24
0 COMMENTS:
Post a Comment