July 21, 2015

KOCHA MKUU WA YANGA, HANS VAN DER PLUIJM (KUSHOTO) AKIWA NA MSAIDIZI WAKE, CHARLES BONIFACE MKWASA PAMOJA NA BOSI WAO, DK JONAS TIBOROHA WAKATI WAKISHUHUDIA MECHI YA KOMBE LA KAGAME KATI YA GOR MAHIA YA KENYA DHIDI YA KMKM. UNAWEZA UKAWEKA MAELEZO MWENYEWE KUWA PLUIJM ALIKUWA ANASEMAJE...

5 COMMENTS:

  1. Ile rafu aliyikanyagwa ngoma yule mchezaji wa gor mahia alitakiwa apewe adhabu ni makusudi....mi niko mbali nineiona kwa you tube

    ReplyDelete
  2. Kweli kabisa licha ya ngoma kuonekana na makosa lakini ilibidi adhabu itolewe kwa yule beki kwani si kitendo cha mpira alichokifanya

    ReplyDelete
  3. Kweli kabisa licha ya ngoma kuonekana na makosa lakini ilibidi adhabu itolewe kwa yule beki kwani si kitendo cha mpira alichokifanya

    ReplyDelete
  4. Kweli kabisa licha ya ngoma kuonekana na makosa lakini ilibidi adhabu itolewe kwa yule beki kwani si kitendo cha mpira alichokifanya

    ReplyDelete
  5. Kweli kabisa licha ya ngoma kuonekana na makosa lakini ilibidi adhabu itolewe kwa yule beki kwani si kitendo cha mpira alichokifanya

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic