Barcelona imezipiga bao Chelsea
na Atletico Madrid na kumsainisha kiungo Arda Turan.
Barcelona imempata Turan
kwa pauni milioni 29 ingawa inaanza kulipa pauni milioni 24.
Pauni milioni tano
iliyobaki italipwa baadaye na imempa miaka mitano.
Kiungo huyo Mturuki
atalazimika kusubiri hadi Januari, mwakani ili kuichezea Barcelona kutokana na
adhabu ya usajili ambayo Barcelona walikuwa wakiitumikia.
for
£29million (€41million).
0 COMMENTS:
Post a Comment