WILLIAM JOHN (KUSHOTO) AKIFUATIWA NA MACHUPPA WAKIWA NA WASHKAJI ZAO JIJINI STOCKHOLM WANAKOISHI. |
Ingawa wamekuwa
hawasikiki sana katika soka, wachezaji wa zamani wa Simba, wanaendelea vizuri
na maisha yao nchini Sweden.
Athuman
Machuppa aliyekuwa mshambuliaji hatari wa Simba, William John aliyetesa katika
kiungo, wanaendelea na maisha yao vizuri tu.
“Tunaendelea vizuri,
tuko na ndugu zetu hapa. Maisha yanaenda vizuri na tunapambana,” alisema
Machuppa ambaye ni mtulivu muda wote.
Machuppa ni
kati ya washambuliaji wanaokumbukwa nchini kutokana na ubora wake wakati
akicheza.
0 COMMENTS:
Post a Comment