Mashabiki
wa Fenerbahce ya Uturuki walishindwa kuzuia furaha yao baada ya kiungo Luis
Nani alipowasili jiji Istambul.
Nani amejiunga na timu hiyo kwa mkataba wa pauni
milioni 3.5 akitokea Man United ambayo ilikuwa imempeleka kwa mkpo Sporting
Lisbon.
Burudani ilikuwa ni mashabiki wa timu hiyo ambao walijitokeza kwenye Uwanja wa Ndege kumpokea wakati akiwasili.Waliimba na kucheza huku polisi wakilazimika kufanya kazi ya ziada kuwazuia wasivuruge utaratibu.
0 COMMENTS:
Post a Comment