Licha
ya kupewa mapumziko na Kocha wake, Arsene Wenger, mshambuliaji wa Arsenal,
Alexis Sanchez ameendelea kujifua kinoma.
Sanchez
ambaye yuko kwao Chile baada ya mafanikio makubwa ya kuliwezesha taifa lake
kubeba ubingwa wa Copa America, lakini ameendelea kujifua ufukweni.
Kumbuka
Sanchez alipewa mapumziko na Wenger, lakini yeye kaendelea kujiweka fiti.
Hii
inaonyesha kiasi gani watu walivyo makini na kazi zao. Unaweza kujifunza,
usiridhike mapema.
0 COMMENTS:
Post a Comment