MSHAMBULIAJI MPYA WA FERNABAHCE YA UTURUKI, ROBIN VAN PERSIE ANAONYESHA KWELI AMEPANIA KUFANYA KWELI, KWANI AMEKUWA AKIJIFUA ILE MBAYA. CHEKI ANAVYOPAMBANA KUHAKIKISHA ANAKUWA FITI KWELI.
MHOLANZI HUYO AMEJIUNGA NA TIMU HIYO YA UTURUKI AKITOKEA MANCHESTER UNITED YA ENGLAND ALIYOJIUNGA NAYO KUTOKA ARSENAL.
|
0 COMMENTS:
Post a Comment