Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Tottenham
ulioiwezesha Man United kuanza Ligi Kuu ya England vizuri, Kocha wake, Louis
van Gaal amesherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kumchukua mkewe na kwenda kula
naye chakula cha usiku.
Van Gaal alianza vituko kwa kuimba kwenye mkutano wa
waandishi akionyesha kusherekea kufikisha miaka 64, baada ya hapo akamchukua
mkewe na kwenda naye kula chakula cha usiku.
0 COMMENTS:
Post a Comment