August 9, 2015

AYEW AKIFUNGA BAO MBELE YA NAHODHA WA CHELSEA, JOHN TERRY.
 Ikiwa ndiyo mechi yake ya kwanza ya Ligi Kuu England, Dede Ayew amefunga moja ya mabao yaliyoiwezesha Swansea kuibana Chelsea kwa mabao 2-2 ikiwa nyumbani Stamford Bridge.



Ayew ambaye ni mtoto wa gwiji la soka nchini Ghana na Afrika, Abeid Ayew 'Pele' amejiunga na Swansea akitokea Marseaille ya Ufaransa iliyomkuza kisoka.

Chelsea ambao ni mabingwa wa England wameanza na sare ya 2-2- baada ya kipa wake Courtois kulambwa kadi nyekundu. Lakini Chelsea ikatangulia mara mbili huku Ayew na Gomis wakisawazisha mabao yaliyofungwa na Wabrazil, Oscar na William.

VIKOSI
CHELSEA (4-2-3-1): Courtois 6.5; Azpilicueta 6, Cahill 6, Terry 6.5, Ivanovic 5.5; Fabregas 5.5 (Zouma 76), Matic 5.5; Hazard 6, Oscar 7 (Begovic 54, 6), Willian 6 (Falcao 84); Costa 7
Subs (not used): Ramires, Mikel, Moses, Remy
Goals: Oscar 23, Fernandez (30 og)
Bookings: Terry
Sent off: Courtois (52)
SWANSEA CITY (4-2-3-1): Fabianski 6; Taylor 6, Williams 6.5, Fernandez 6.5, Naughton 6.5; Ki 5.5 (Cork 41, 6), Shelvey 8; Sigurdsson 6.5, Montero 6.5 (Routledge 71, 6), Ayew 7; Gomis 7.5 (Eder 79)
Subs (not used): Nordfeldt, Rangel, Bartley, Tabanou
Goals: Ayew 29, Gomis (55 pen)
Bookings: Shelvey, Cork, Williams
Man of the Match: Shelvey 
Ref: Michael Oliver (Northumberland)
Att: 41,232 
Player ratings by KIERAN GILL at Stamford Bridge 














0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic