August 8, 2015

 Licha ya kuwa na umbo kubwa, lakini mjumbe wa kamati ya Utendaji ya Simba, Musleh Al Rawah alikuwa kivutio cha aina yake leo wakati wa Simba Day.

Ishu ya Simba Day imefanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na Musley alikuwa kati ya wachezaji wa timu ya viongozi wa Simba iliyocheza na kikosi cha mchanganyiko cha Bongo Movie na Bongo Fleva.

FLYING HEAD....SI UNAJUA KWANI WANGAPI HAWAJAWAHI KUPIGA...
Musley alionyesha uwezo wa kumiliki mpira na hata kupiga kichwa cha kurukia ‘fyling head’. Hii ilionyesha kweli ni mtu wa soka na anaiweza.

Lakini ndiyo hivyo, mwili akili inataka, lakini….aaah!

KUINUKA KWAKE SASA, HEHE...

UNAWAONA HAO WATOTO WAWILI, MMOJA NI MUSLEY AL RAWAH AKIWA NA KIKOSI CHA SIMBA MWAKA 1977. WAKATI HUO BABA YAKE MZAZI ALIKUWA KIONGOZI WA JUU WA SIMBA. LEO AMEONYESHA KWELI NI MTU WA SOKA, DAH!

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic