August 25, 2015


Soka ina burudani zake aisee, picha hii inamuonyesha kiungo Jabir Aziz 'Stima' akiwa amekaa chini huku Mwinyi Kazimoto akiondoka.


Wawili hawa walikutana katika mechi ya kirafiki jana wakati Simba ilipoivaa Mwadui FC ya Shinyanga na mechi kwisha kwa sare ya bila kufungana.

Wote wamecheza Simba, wote wamecheza Ruvu Shooting na wanapokutana kama wakongwe, mambo ya burudani kama hivi, unaona mmoja amekaa?


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic