August 25, 2015

Mshambuliaji nyota wa Real Madrid, Karim Benzema ametuma ujumbe kwenye mtandao wa Instagram ambao unaweza ukawa si mzuri kwa mashabiki wa Arsenal.
Mfaransa huyo ambaye anaonekana kuwa anasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa Arsenal kutokana na tetesi kwamba atajiunga nao soon, ametupia picha kwenye Instagram ikionyesha yuko kwenye vyumba vya kubadilishia nguo vya Real Madrid huku akisisitiza hapo ndiyo kwake na Madrid ndiyo nyumbani.

Sasa atakwenda kweli Arsenal? Matumaini yanatoweka Asee!!

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic