August 25, 2015

Unaweza kujiuliza maswali, hawa viongozi wa Simba walikuwa wanazungumza nini. Angalia Makamu wa Rais wa Simba, Geofrey Nyange Kaburu anavyoteta na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Musley Al Rawah ambaye alisafiri kutoka Oman na kuiwahi mechi ya kirafiki Simba ikicheza na Mwadui na mwisho ikawa sare ya bila mabao.


Lakini pembeni yao kuna wajumbe wengine wa kamati ya utendaji, Said Tully (kulia na kushoto) ni Mohammed Nassor ‘Kigoma’, wote wamenuna sana. Vipi au yule Papa Niang kutoka Senegal amewakwaza?


Weka maelezo yako mwenyewe…

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic