September 19, 2015


Picha za beki Luke Shaw wa Man United ambaye amevunjika mguu wake zimeonekana kwenye mtandao kwa mara ya kwanza baada ya kufanyiwa upasuaji.


Shaw amepasuliwa baada ya kuvunjika mguu katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya walipokuwa wakicheza dhidi ya PSV ya Uholanzi.


Shaw ameonekana akiwa kwenye Hospitali ya St Anna nchini Uholanzi pamoja na waliojitokeza kwenda kumtembelea hospitali na mwenye furaha tu.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic